Mafundi wa Drilling and Dam Construction Agency (DDCA) wakianza hatua za mwanzo za uchimbaji wa kisima na utengenezaji wa mabomba ya hospitali ya Amana ambao ni walengwa wa mfuko wa Shear Charity Ball iliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Movenpick Dar es Salaam na kudhaminiwa na makampuni ya Serengeti breweries, Bilicanas Group, TCRA, GS4, NSSF, Azania Bank, National Housing Corporation, 540, Clouds FM, Clouds TV, Precision, Benchmark Production, Peacock Hotel, S.S Concrete, Tinamaria , imaging smart, Hugo Domingo, DTP, Pepsi, Advertisin dar, AIESEC, Coastal Travels, Cocotan, i-view media, Maxcom, THT.
Tuesday, November 1, 2011

Home
Unlabelled
Mafundi wa Drilling and Dam Construction Agency waendelea na uchimbaji wa kisima cha maji katika hospital ya amana ilala
Mafundi wa Drilling and Dam Construction Agency waendelea na uchimbaji wa kisima cha maji katika hospital ya amana ilala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment