Redio za Tanzania zinasikika online sasa kwa wingi. Hizi ni baadhi tu ya zinazopatikana hadi sasa (bofya jina la redio kwenda kwenye ukurasa wenye redio husika):
- Tanzania Choice FM
- Tanzania Clouds FM
- Tanzania Country FM
- Tanzania Ebony FM
- Tanzania Jambo Radio
- Tanzania PRIDE FM
- Tanzania Qiblaten
- Tanzania Radio Maria
- Tanzania TBC FM 94.6
- Tanzania TBC Taifa
- Tanzania Times 100.5 FM
- Tanzania Radio Safina
- Tanzania Radio Sauti Ya Injili, Moshi
Pia zipo redio za Kiswahili za Kimataifa kama vile BBC Swahili, VOA-Sauti ya Amerika, Sauti ya Ujerumani-DW, redio za Kenya, Uganda pamoja na pleya zenye nyimbo za dini. Zipate zote: www.wavuti.com/ audios.html
No comments:
Post a Comment