Mwandishi wa habari kutoka shirika la habari la TSN wachapishaji wa magazeti ya Daily News na Habari leo,Beda Msimbe akisoma mawasilishi ya hali halisi ya upatikanaji wa huduma za matibabu vijijini wa NHIF na CHF Mkoa wa Ruvuma.
Baadhi ya wahariri wa habari pamoja na Waandishi wa Habari Waandamizi wakisikiliza mada kwenye Kongamano la saba la mwaka la NHIF na CHF lililifanyika Mjini Morogoro.Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii.
No comments:
Post a Comment