Assalama aleykum
Tunapenda kutoa taarifa ya hitma ya mzee wetu marehemu Said Shikamkono (pichani) itakayofanyika leo jumamosi tarehe 22/10/11 saa saba adhuhri inshallah nyumbani kwa marehemu WOOLWICH DORCKYARD adress ni 405 Francis street.SE18 5JU wake kwa waume wote mnaalikwa anaesikia tangazo hili amuarifu mwenzake.
wasalaam
No comments:
Post a Comment