Mwakikishi
kutoka taasisi ya sanaa na utamaduni Tasuba bibie Fatma Kihemba akitoa
salam za chuo chake kwenye usiku wa Bagamoyo Intercolleges Night 2011
uliyofanyika kwenye ukumbi wa Tasuba mjini Bagamoyo siku ya Ijumaa
tarehe 28.10.2001.
Bw.Kim Kimenya mkurugenzi wa kampuni ya Kimkev Entertainment akitoa neno la makaribisho.
Mkurugenzi Kim Kimenya akimkabidhi fedha taslimu bibie Manka mshindi wa swali la usiku wa Bagamoyo Intercolleges Night 2011.
Haji Adam (Baba Haji) akihost shughuli nzima ya Bagamoyo Intercolleges Night 2011.
Mkurugenzi
wa kampuni ya Mrimi Classic wear bw Gesase Mrimi akitanganza zawadi kwa
"lady of the night" bibie Aisha Kiputula (kushoto) na Francis Kamuli
"man of the night"(katikati) wote kutoka SLADS(walichaguliwa kwa kigezo
cha kupendeza kwa nguo za rangi nyeupe).
Bw.Martin Mhando kutoka taasisi ya utafiti ya Ifakara mara baada ya kumtangaza Aisha Kiputula kuwa ndiye Lady of the night.
Picha
ya pamoja ya washindi na waandaaji.Washindi walipata zawadi za fedha
taslimu na kulala usiku mmoja katika hoteli ya Green pack village ya
Bagamoyo.
Huu ulikuwa wakati wa wote yaani kwanja time.
No comments:
Post a Comment