HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 17, 2011

Vodacom Tanzania wazindua promosheni mpya ya MEGA huko Mbagala,jijini Dar

Wasanii wanaochipukia katika muziki wa kizazi kipya wakitumbuiza katika uzinduzi wa promosheni mpya ya Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom ijulikanayo kama MEGA inayomuwezesha mteja wa Vodacom kujishindia TV ya Samsung.
Baadhi ya wasanii wadogo wa kizazi kipya wakitoa burudani ya muziki wakati wa uzinduzi wa promosheni mpya ya MEGA iliyozinduliwa rasmi hivi karibuni eneo la Mbagala,Jijini Dar es Salaam na Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad