SIGNING OF CONDOLENCE BOOK
The Embassy of Tanzania in Sweden will open a book of condolences following the tragic ferryboat accident that occurred in Zanzibar on Saturday, 10th September, 2011.
KUSAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO
Ubalozi wa Tanzania hapa Sweden utafungua kitabu cha maombolezo kufuatia ajali ya kuzama kwa meli iliyotokea Zanzibar siku ya Jumamosi tarehe 10 Septemba 2011.
Kitabu cha maombolezo kitafunguliwa kwenye Ubalozi wa Tanzania, Näsby Allé 6 183 55, Täby siku ya Ijumaa tarehe 16 Septemba, 2011 kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni na Jumamosi kuanzia saa saa 5 asubuhi mpaka saa 10 Jioni.
No comments:
Post a Comment