HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 14, 2011

rambirambi kwa waliopata ajali ya meli Zanzibar kutoka Belgium


Asalamu alaykum.

Wadua wa Oostende belgium beach tunatoa salamu za rambirambi kwa ajali ya meli iliyotokea visiwani zanzibar ya mv spices islanders.

tunawapa pole kila aliyefikwa na janga hili
Tunawaombea majeruhi wapone haraka na wale wote waliopoteza maisha mungu azilaze roho zao mahali pema peponi amini

Na wafiwa mungu awape subra katika kipindi hiki kigumu cha msiba

 Amin.
OOSTENDE ,
BELGIUM

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad