HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 9, 2011

mzee wa mtaa kwa mtaa ndani ya Monduli

Nipo Monduli mkoani Arusha kwa shughuli za Kijamii,na ukishaingia mji huu ni lazima uvalishwe lubega kama nionekanavyo hapo pichani ikiwa ni ishara ya kwamba upo katika mazingira hayo kama tamaduni na mila za kabila la Kimasai.
Hii ndio nyumba niliyofikia na hwa ni wenyeji wangu.
Ilikuwa ni kama zali la mentali vile,maana mtu mzima nimetua tu na ng'ombe mzima akaangushwa na mambo yalikuwa hivi mpaka ng'ombe huyo akabakia mkia tu.
Kina mama wa Kimasai wakiwa wametulia pembeni huku sie tukiendelea na shughuli ya kumrekebisha ng'ombe.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad