Maana nafikiri hii ni mara ya kwanza kwa wawili hawa (mgambo wa jiji na mmachinga) kukaa sehemu moja tena bila kuleteana zengwe hata kidogo.sasa sijui walikuwa wanamlinda ili wengine wasimzingue au walikuwa wanamlia taimingi ili wamfungie biashara yake???
Wednesday, September 14, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment