Mdau Hassan Mussa a.k.a Hastt akiwa nje Uwanja wa ALLIANZ ARENA ambao ndio uwanja wa nyumbani wa timu ya BAYERN MUNICH,nchini Ujerumani.
Hastt akiwa kwenye chumba maalum ndani ya uwanja huo.
Hastt akiwa na warembo alioongozana nao kwenda kutembelea wanja hilo nchini Ujerumani.
No comments:
Post a Comment