SALAM,
Habari
zenu wadau wote popote Duniani Tunapenda kuwasalimu wakubwa Shikamoo na
tulio Umri sawa Mambo zenu!, Baada ya salamu hizi tunapenda kuwaletea
habari njema sana kwa wazazi na wanafunzi ambao walikuwa wamefanya
mtihani kidato cha sita lakini hawakufanikiwa kuyaona majina yao wakati
wa Selection ya kwanza.
Lakini muda sio mrefu sana yametoka majina mapya
ya Second Selection ambapo utaweza Bahatika kuliona jina lako, la ndugu
yako, rafiki ama mwanao.
Tunawaomba mkipata taarifa hii muwape na
wengine pia ili wapate kutazama majina hayo. mwisho tunawapa hongera
sana wale walio chaguliwa kwa mala ya kwanza na hawa ambao mmechaguliwa
kwa mala ya pili. Web site ya Matukio na wanavyuo itaendelea kuwaletea
habari zaidi za vyuo mbali mbali Tanzania.
Nyongeza:
Tinaomba sana ushirikiano wenu uongozi wa vyuo mbali mbali Tanzania,
ikiwa ni kututumia matukio mbali mbali ambayo yanatokea katika vyuo
vyenu, mfano mikutano,mahafari na mambo kama hayo, pia kama mna
applications za kutaka wanafunzi wajiunge na vyuo vyenu pia
tunakaribisha sana na matangazo mengine.
Kwa wanafunzi wa vyuo mbali
mbali Tanzania pia tunawaomba ushirikiono wenu wa ukaribu wa kututumia
matukio mbali mbali sisi ni wasimamizi tuu wa kupost habari lakini
mshiriki mkuu ni wewe msomaji na mtumaji wa matukio. Lengo ni
kuwaunganisha wanafunzi wote wa vyuo Tanzania. Pamoja tunaweza
Matukio yote ama kitu chochote tutumieni kupitia Barua pepe: twanavyuo@live.com
Asanteni sana
Matukio na wanavyuo Crew
BOFYA HAPA CHINI KUONA MAJINA HAYO
No comments:
Post a Comment