HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 21, 2011

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Dickson Maimu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Septemba 21 kwa ajili ya mazungumzo kuhusu maendeleo ya maandalizi ya zoezi hilo la vitambulisho vya Taifa. Katikati ni Ofisa habari wa NIDA, Rose Mdami.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Dickson Maimu, baada ya mazungumzo wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Septemba 21 kwa ajili ya mazungumzo kuhusu maendeleo ya maandalizi ya zioezi la Vitambulisho vya Taifa. Picha na muhidin Sufiani-OMR

1 comment:

  1. hivi kweli serikali inadiliki kuuza mbuga za wanyama nn faida kwa watanzania ss ambao hata hatujui nchi inakwenda vipi? huu si ujinga wa haliya juuuuuuuu kuliko utapeli

    ReplyDelete

Post Bottom Ad