HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 23, 2011

kamera ya MTAA KWA MTAA ndani ya jiji la Tanga leo

 HIVI NDIVYO YAONEKANAVYO BAADHI YA MAENEO YA JIJI LA TANGA LEO KAMA YALIVYONASWA NA KAMERA YA MTAA KWA MTAA.

3 comments:

  1. Tanga kunani!!! mijibaskeli yakatisha mijitaa ya Tanga!! huku mijibarabara imepandwa mijiuwa wajionea raha!! wajitahidi na mijiusafi!!! sisi tulio mbali twajionea mijifuraha!! huku nikiangalia mijipicha na huku nikila mijivyakula ya huku mijichipsi na mijiyai na mijiukuku. na sasa hivi ndio inaanza mijibaridi. mdau Leicester. shemejii!!!!

    ReplyDelete
  2. Tanga raaha bwana safiiiiiiiiii lakini waja leo waondoka leo, ukipata toto la kitanga lol raha tupuuuu wazuri,kwa mapenzi ndo usiseme mapishi dooo lahaulaa rahaaaaaaa tanga.Hahaha Leicester Poleeeee kaka Hata mimi namiss nyumbani Tanga picha kama hiziiiiiiiii nakumbuka Usagara tuuu Mdau Oslo Kwenye mijibarafuu tuuuuuuuuuu.

    ReplyDelete
  3. Mji msafi mpaka raha, natamani Dar ingekua hivyo.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad