SEPTEMBA 14, miaka mingi iliyopita alizaliwa miongoni mwa Wadau wa Kuu wa 'gazeti' mtandao la THEHABARI.COM kwa upande wa Tanzania (Joachim Mushi).
Asanteni sana wadau na wasomaji wa 'Thehabari.com' popote mlipo ulimwenguni kwa ushirikiano wenu. Nasikitika kusema nakumbuka siku yangu ya kuzaliwa huku Tanzania, Kenya ikiwa katika msiba mkubwa wa matukio ya ajali.
Tanzania tukiwa kwenye ajali ya meli na Kenya mlipuko wa bomba la mafuta, ambapo ajali zote zimepoteza idadi kubwa ya roho za wapendwa wenzetu. Mungu aendelee kutulinda sote.
Amin
Wednesday, September 14, 2011
Home
Unlabelled
Happi Bethidai ya majonzi toka kwa mdau wa THEHABARI.com
Happi Bethidai ya majonzi toka kwa mdau wa THEHABARI.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment