HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 28, 2011

chandimu katika uwanja wa biafra kinondoni

watoto kwa wakubwa toka maeneo ya jirani na uwanja wa shule ya sekondari ya biafra uliopo kinondoni kanisani wakilisakata kabumbumbu la chandimu katika uwanja huo huku sehemu ya upande ya uwanja huo ikiwa imejaa maji.sasa sijui na vidimbwi hivi hali inakuwaje iwapo mpira unafika katika eneo hilo??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad