Maharusi Cathbert Kajuna na Ester Ulaya wakitabasamu kwa raha zao jioni ya leo kwenye moja ya ufukwe jijini Dar wakati wa foto shoot,mara baada ya kumeremeta na kuwaka waka katika kanisa la St.Anna,Hananasifu Kinondoni.
Wapambe wa maharusi wakiwa katika pabliki foto ya pamoja nje ya kanisa mara baada ya maharusi kumeremeta jioni ya leo.
Maharusi wakiwa na wapambe wao katika pabliki foto ya pamoja.
Maharusi,(sasa hivi naanza kumuita Braza) Cathbert Kajuna na shemeji Easter Ulaya wakionesha nondozz zao mbele ya ndugu,jamaa na marafiki (hawapo pichani) waliofika kanisani hapo kushuhudia tukio hilo adhimu jioni ya leo ndani ya kanisa la St Anna,Hananasifu Kinondoni jijini Dar.Pichani nyuma ni Wapiga tafu wa Maharusi hao Jaskson Mmbando pamoja na Mkewe nanihii.
Jakson Mmbando akimpa mkono wa hongera bibi harusi,Easter Ulaya mara baada ya kutimiza ndoto yake ya kumeremeta na wake wa ubani (Braza) Cathbert Kajuna pichani kati nae akipewa mkono wa hongera.
Maharusi wakipewa mkono wa hongera mara baada ya kuitimiza ndoto yao ya kumeremeta pamoja leo jioni ndani ya kanisa la St.Anna,Hananasifu,Kinondoni jijini Dar.
Bibi Harusi,Easter Ulaya akitabasamu kwa raha zake.
Maharusi wakionesha pete zao za ndoa mara baada ya kuvalishana.
Maharusi wakila kiapo cha ndoa.
"Alichokiunganisha Mungu,Mwanadamu asikitenganishe".!
Maharusi wakila kiapo cha ndoa.
Maharusi wakiwa kwenye ibada ya ndoa jioni ya leo.
Maharusi wakiingia kanisani,tayari kwa kuikamilisha ndoto yao ya kuishi pamoja,jioni ya leo huku wakisindikizwa ndugu jamaa na marafiki (hawaonekani pichani).
Da cathbert hongera sana yan umependez sana na bibie b blessed n ol fa best in ya new lyf luv u
ReplyDeleteDodo sasa umekuwa,hongera sana. Ila ule mchezo wako wa kipindi kile acha kabisa
ReplyDeleteHaaa....!!!! Huyu ni Cathbert wa Prime Time au mwingine?? Yaani ndio nimeukosa mnuso hivi hivi??
ReplyDeleteHongereni sana Maharusi mmependeza Sana.Mungu awalinde na awaongoze katika maisha yenu mapya.
ReplyDeleteMh jamn i cnt believe t ni cathbert ninaemjua au mwingine ol da best sasa tulia na mkea
ReplyDeleteBi harusiana uzuriwa asilia, hongereni maharusi.
ReplyDelete