Kama gari lako liko chini sana baasi usipite barabara hii,maana mpaka ufike safari yako basi utakuwa ushaongea maneno yoote mabaya juu ya njia hii na gari litakuwa linahitaji kwenda kuonana na mafundi huku wauzaji wa spea za magari wakikusubiri kwa hamu.
Njia ni kubwa lakini matumizi yake ni yakujibanabana maana upange mwingine umetawaliwa na mashimo makubwa makubwa kama visima vya maji.
yaani ni kero mtindo mmoja.maana barabara imelika kiasi kwamba hata ukiwa na Bajaj unapita kwa shida.
No comments:
Post a Comment