HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 22, 2011

Barabara ya Jet kuelekea Lumoo mpaka Yombo ni Mashimozz mpaka Kero

Hivi ndivyo inavyoonekana Barabara ya Jet kuelekea Lumoo mpaka Yombo wilaya ya Temeke,jijini Daslaam. inavyoonekana na kupendezeshwa na Mashimozz bin Mahandakizz mkubwa makubwa yaliyotawala katika barabara hiyo.hivyo kwa kuwa mjumbe hauwawigi..... basi ujumbe ndio huu toka kwa wakazi na watumiaji wa njia hii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad