Mwenyekiti wa kijiji cha Kanyezi Ndugu Deodatus Chatindwa akikata utepe wakati wa uzinduzi wa huduma za mawasiliano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel katika kijiji cha Kanyezi wilayani Sumbawanga vijijini mkoani Rukwa. Waliomzunguka ni wakazi wa kijiji hicho wakishuhudia uzinduzi ambapo Airtel ndio mtandao pekee unaopatikana kijijini Kanyezi
Tuesday, September 13, 2011

Home
Unlabelled
Airtel yazindua mnara mpya katika kijiji cha Kanyezi mkoani Rukwa
Airtel yazindua mnara mpya katika kijiji cha Kanyezi mkoani Rukwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment