Mchezaji Rajab Mwalami wa timu ya kombaini ya vijana wa sekondari za mkoa wa Dar es Salaam, akimtoka mchezaji wa timu ya Mwanza, George Maganga katika michuano ya kukuza vipaji vya soka kwa vijana ya Airtel Rising Stars, jana kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.Mwanza ilishinda 2-1.
Mchezaji Rajab Moto (kulia) wa timu ya Dar es Salaam, akitafuta mbinu ya kuwatoka George Maganga (kushoto) na Hamad Ramadhan wa timu ya Mwanza,katika michuano ya kukuza vipaji vya soka kwa vijana ya Airtel Rising Stars, jana kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.Mwanza ilishinda 2-1.
James David (kushoto) wa timu ya kombaini ya vijana wa sekondari za Mkoa wa Mwanza, akigombea mpira na Abubakar Said wa timu ya vijana ya Dar es Salaam,katika michuano ya kukuza vipaji vya soka kwa vijana ya Airtel Rising Stars, juzi kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.Mwanza ilishinda 2-1.
No comments:
Post a Comment