HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 13, 2011

Yadi ya kuhifadhia chupa za plastiki mtaa wa Uhuru na Livingstone Steet

Hii ni moja ya Yadi ya kuhifadhia chupa tupu za plastiki zilizokwishatumika ambazo kwa sasa hapa jijini Dar zimekuwa ni dili sana kiasi kwamba ukiwa unakunywa maji na kama ukiona hujamaliza kukata kiu usiweke chupa chini maana jamaa wataipitia muda huo huo bila hata kujua wametokea wapi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad