Washiriki wa shindano la Miss Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara walipofanya ziara ndani ya kiwanda cha TBL,hapo jana jijini Arusha. Washiriki wa shindano la Miss Tanzania 2011 wakielezwa namna bia inavyotengenezwa na , Mtaalam wa Upishi wa Bia, TBL Arusha.Bwana Jacob Mgowe.
No comments:
Post a Comment