HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 29, 2011

SWALA YA EID EL FITR - LEICESTER

Assalaamu Alaykum

Ndugu katika Iman,
Huu ndiwo utaratibu wetu wa sheghuli za Eid Inshaallah:

SALA YA EID

iNSHAALLAH UTARATIBU NI HUU:

SIKU: Jumanne au Jumatano kutegemea muandamo
PAHALA: Kocha House, Malabar Road, Leicester LE1 2PD
WAKATI: Takbeer zitaanza saa mbili kamili asubuhi, na SALA iatasaliwa saa mbili na nusu

Kisha Inshaallah tutafungua kinywa pamoja kama desturi yetu.

Kuna mchango wa £10 kila familia wa kuandaa kifungua kinywa, tafadhali wasiliana nami kwa utaratibu wa kutoa mchango.

EID FUN DAY:

Inshaallah JUMAMOSI 3-9-11 kutakuwa na Eid Fun Day kwa KINAMAMA na watoto tu!
Wavulana hadi miaka 15 na kushuka chini
Wasichana umri wote

Kiingilio kitakuwa £1.50 KILA MTU.

KUTAKUWA NA BOUNCY CASTLE, HENNA, FACE PAINTING, ZAWADI, UROJO, CRISPS, VINYWAJI, NA VIPOCHOPOCHO KADHA!!
Fika ufurahi na familia yako pamoja na wenzako.

Kwa maelezo zaodi wasiliana nami

jazaakal lah Khayr

EID MUBAARAK

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad