Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akionyeshwa namna DJ Tasi (kushoto) anavyofanya kazi alipotembelea kituo cha Magic FM akiwa katika ziara ya Kampuni ya Africa Media Group inayomiliki kituo hicho mjini Dar es Salaam, leo. Anayemuonyesha ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo, Hamza Kasongo. (wapili kushoto).
Thursday, August 4, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment