HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 13, 2011

Mwanamuziki Josee Chameleon wa Uganda abadili dini na kuwa Muislam

Mwanamuziki maarufu wa nchini Uganda, Jose Chameleon akisilimu dini kutoka ukristo wa madhehebu ya Kikatoliki na kuwa Muislamu katika hafla iliyofanyika leo mchana wakati wa swala ya Ijumaa katika msikiti wa Kibuli jijini Kampala.Mwanamuziki huyo sasa amebadili jina la Jose na sasa anaitwa Gaddafi Chameleon kama alivyochagua yeye mwenyewe,habari hii ni kwa mujibu wa gazeti la Red Pepper.
Chameleon akiwa msikitini na waumini wengine.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad