HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, August 14, 2011

mashindano ya kuhifadhi Kuraan tukufu yafana jijini Dar es salaam leo

 Sehemu ya Mashekhe na umati wa Waislamu uliofurika katika ukumbi wa Diamond Jubilee hall jijini Dar es salaam kushuhudia mashindano ya kuhifadhi Kuraan Tukufu yaliyoshirikisha wanafunzi wa madrasa toka Bara na visiwani
 Sehemu ya washindani wavulana
 Washindani wasichana
 Mke wa rais Salma Kikwete (wa pili kulia) akimsaidia kuwasha Pikipiki ya kubeba mizigo Mshindi wa kwanza wa kuhifadhi Kuraan juzu 30 Khalid Omar Mbarouk (15) katikati wa Madrasat An-Nujum ya Temeke  yaliyofanyika Dar es Salaam jana. Kushoto ni Jaji wa Hifadhi, Hassan Ahamed Katunguya na kulia ni Mwenyekiti wa Mashindano ya kuhifadhi Kuraan nchini  Bi Aisha Sururu.
Mke wa Rais Salma Kikwete (watatu kulia) akimkabidhi funguo za pikipiki ya kubebea mizigo aina ya Bajaj iliyotolewa na Home Shopping centre Mshindi wa kuhifadhi Kuraan juzu 30 Khalid Omar Mbarouk (kulia) wa Temeke Dar es salaam baada ya kuibuka mshindi katika Mashindano ya kusoma kwa kuhifadhi kuraan yaliyofanyika Dar es Salaam jana. 
Mke wa Rais Salma Kikwete (watatu kulia) akiwa mwanaharakati maarufu na mratibu wa shindano hilo Bi Aisha Sururu wakiomba dua baada ya shindano hilo lililofana sana.Picha na Michuzi Blog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad