Vituo vya mafuta Jijini Mbeya vimegoma kuuza mafuta aina zote sababu ya kupinga hatua ya EWURA kupunguza bei ya mafuta kuanzia leo wakidai ni hasara kwao sababu wenyewe walinunua kwa bel kubwa iweje leo wauze kwa bei ndongo wameomba wapewe angalau siku kadhaa kumalizia mafuta waliyonayo sasa katika vituo vyao.
BEI MPYA ZA MAFUTA KATIKA BAADHI YA VITUO VYA MJINI MBEYA
Baadhi ya madereva wakigombea kununua mafuta kwenye moja ya kituo jijini Mbeya.Kituo cha mafuta kikiwa cheupe hakuna huduma ya mafuta.Picha zote kwa hisani ya Mbeyayetu blog
No comments:
Post a Comment