HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 9, 2011

Libeneke jipya

Habari za leo Mabloga wenzangu natumai ya kuwa mtakuwa ni wazima wa afya njema, mimi pia nipo salama kabisa, pili hongereni sana kwa kazi ambazo umeendelea kufanya. nilikua naomba msaada wenu wa kunitambulishia Blog yangu kwa wadau mimi ni Kijana kutoka Mkoani Mbeya naitwa Greyson Salufu ni Mtangazaji na mwandishi wa Habari. natanguliza Shukurani zangu. Asante sana.

Jina La Blog: Chimbuko Letu

Habari wadau wote popote Duniani, Napenda kuwakaribisha katika Libeneke Chimbuko Letu.. Ambapo mtapata taarifa nyingi kutoka mikoa mbali mbali ya Tanzania Bara na visiwani pia Duniani kwa ujumla.. Asanteni sana kwa Kutembelea Chimbuko Letu na Karibuni tena.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad