HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 2, 2011

LEO NDANI YA ‘GAZETI’ LA MTANDAO, THEHABARI.COM

*Maiti yakurupuka mochwari, wahudumu watimu mbio kudhani ni mzimu. Soma habari hii kwa undani zaidi ndani ya Thehabari.com.

*CCM yaridhia kuondoka madarakani Rostam, yataka wengine wajipime na kufuata nyayo. Wajua kwanini imesema hivyo? Soma habari hii ndani ya Thehabari.com.

*Kamati Kuu ya CCM sasa yaipinga EWURA, yatoa maelekezo mapya juu ya kupanda kwa mafuta ya taa na kero ya umeme. Soma zaidi ndani ya ‘gazeti’ la mtandao.

*Mnyika aweka wazi ufisadi uliofanyika UDA, awatuhumu Meya Masaburi na Meneja wa shirika hilo. Je, wajua wamehusika vipi kuifisadi UDA? Soma Thehabari.com.

*Na katika michezo, mchezaji Valencia asaini upya Man Utd. Kwa habari hizo na nyingine nyingi soma ‘gazeti’ mtandao la Thehabari.com kila siku.
KUSOMA THEHABARI BOFYA; www.thehabari.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad