HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 1, 2011

Kamera ya Mtaa Kwa Mtaa na Matukio mbali mbali ya Barabarani

 Jamaa akijiandaa kuyakata malori mengine katika barabara ya Dodoma - Morogoro.
 Pamoja na kwamba mbele kuna gari inakuja,lakini jamaa akiikata gari nyingine bila hata wasiwasi.
 Hapa ni mwendo wa nyanya kwa kwenda mbele.
 mkeka umetulia.
 Safari yetu ikiendelea kurejea jijini Dar.
 Hapa ni maarufu sana kwa kuchoma nyama za mbuzi kama panavyoonekana.
 hapa hakuna cha kuangalia vibao vya barabarani wala ni nini,mwendo mdundo tu.
 hii ishakuwa pakingi ya halali kabisa kwa malori.
 msela akipeleka bishaa kilingeni kwake.
Upakiaji wa viazi vitamu.
 Shida ya maji katika vijiji vya Gairo.
 Ukiwa unarudi safari lazima upitie bidhaa kama hizi ili mambo yakawe sawa huko nyumbani,bila ya hivi ujue hakutakalika.
 Hili Bwawa lipo maeneo ya Dakawa,ambapo wakazi wa maeneo hayo hutumia maji ya bwawa hili kwa baadi ya mahitaji na mifugo nayo hulitumia bwawa hili kwa kukatia kiu.
 Mkaa ukipelekwa sokoni.
 yale yalee....
 Masela wakipelekwa mzigoni.
 mwendesha pikipiki akiwa amempakia mtoto bila ya tahadhari juu ya usalama wake barabarani katika barabara kuu ya Morogoro 
 Kila Owen wakipeleka maji nyumbani kwao.
 pili kwa pamoja.
 Msela kazikata zote hizi.
 Daraja la Ruvu linavyoonekana sasa.

1 comment:

  1. Othman nimefurahia jitihada zako za kuhabarisha kwa picha kuhusu 'mabomu ya barabarani". Je, huwezi kuifanya kama projekti ambayo inaweza kutumika kuelimishia umma na madereva, na pia kuwasogezea akina Dkt Said Mwema album ya picha za mabomu hayo zinazoonesha vizuri namba za magari, nk. You can make a difference in this society through such a humble undertaking. Unaweza hata kutengeneza documentary. Maelfu ya Watanzania wasio na hatia wanapoteza maisha kwa upumbavu wa hii mijitu ambayo ninaweza kuiita nusu watu. Bila jitihada zo zote itaendelea kuchinja watu wasiokuwa na hatia. Ndiyo, barabara zetu ni nyembamba - highway kama za Dar-Dom-Mza au Dar-Mbeya zilipaswa kuwa na njia mbili mbili kila upande, lakini hiyo sio sababu ya kuvunja kanuni zilizopo ili watu wote watumie hizo barabara finyu kwa usalama!!!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad