HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 8, 2011

Airtel yadhamini mkutano maalum wa mainjinia UDSM

Afisa uhusiano wa Airtel , Jane matinde (kulia) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shillingi milloni tano kwa Naibu mkuu wa chuo cha uhandisi na teknologia UDSM prof. Felix Mtalo kwa lengo la kuchangia seminar maalumu iliyoandaliwa kwaajili ya kusherehekea miaka 50 ya chuo kikuu cha Dar es salam itakayofanyika tarehe 10 hadi 11 Augasti 2011. Kushoto ni mwenyekiti kamati maandalizi ya kongamano Dr. Juma Mohamed.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad