HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 20, 2011

Warembo wa Vodacom Miss kinondoni wafanya shindano la vipaji

Ofisa Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude(kulia) akimwangalia mrembo anaeshiriki Miss Kinondoni  Fatma Pongwe, akichora mnyama aina ya Twiga katika shindano la kusaka vipaji lilofanyika hapo jana katika hoteli ya Giraffe.Vodacom Tanzania ndiyo wadhamini wakuu wa shindano la Miss Tanzania.  

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad