Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania Imani Dominick wa kitengo kinachojihusisha na majengo na minara akimtoka mfanyakazi mwenzake katika mchezo wa beach soccer siku ya Vodacom Family day inayofanyika leo Hotel ya Kunduchi Beach jijini Dares Salaam. |
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakichuana vikali kwenye mchezo wa Beach Soccer wakati wa siku ya Vodacom Family day inayofanyika leo katika Hotel ya Kunduchi Beach jijini Dares Salaam. |
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakichuana vikali katika mchezo wa Beach Volleyball siku ya Vodacom family day inayofanyika leo katika Hotel ya Kunduchi Beach jijini Dares Salaam. |
![]() |
Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakishindana kwenye mchezo wa kukimbia na gunia katika siku ya” Vodacom family day”inayofanyika Hotel ya Kunduchi Beach jijini la Dares Salaam. |
No comments:
Post a Comment