Mshambuliaji wa Simba, Mussa Hassan ‘Mgosi’ (kushoto) akichuana na kiungo wa timu ya Etincelles ya Rwanda wakati wa mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-0.
Mshambuliaji wa Simba, Nassor Chollo (shoto) akimlamba chenga beki wa Etincelles ya Rwanda, Gashema Landry.
Golikipa wa Etincelles ya Rwanda, Kabamba Eric akituka juu kuoko moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake wakati wa mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-0.
Sehemu ya Mashabiki wa Simba wakiisapoti timu yao leo.Picha na Francis Dande.
No comments:
Post a Comment