Mkuu wa mkoa wa Mbeya,John Mwakipesile akifafanua jambo kwenye mkutano na madereva wa magari ya biashara yaendayo mikoani na nchini jirani juu ya kuongezeka kwa siku za kusimamia magari katika mizani iliyopo Tunguma mkoani Mbeya kutoka siku 5 mpaka 7.lakini ufafanuzi wake hakukupokelewa vyema na madereva hao ambao walidai kuwa siku hizo ni nyingi sana
Meneja wa TRA kitengo cha forodha,Rogacian Shirima ambaye alizungumzia kuongeza idadi ya siku za kusimamia magari hayo kutoka Dar hadi Tunduma ama Kasumulu ambapo watachukua siku saba badala ya siku tano za awali.
Kamanda wa polisi wilaya ya Mbozi,Afande Ernest Dudu nae alizungumzia utaratibu Trafiki kukagua magari hayo pale yanapokuwa mizani.
viongozi wa madereva wa Magari ya biashara wakikataa hoja iliyokuwa ikitolewa na viongozi wao.Picha na Mbeye Yetu Blog.
No comments:
Post a Comment