HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 27, 2011

Maisha ni Kuhangaika

 Mtoto mjasilia mali ambaye umri wake hauendani na shughuli aifanyayo kutokana na kuwa hiki ni kipindi cha shule (kulia),akichangamka kufanya biashara yake kama alivyokutwa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa,mkoani Morogoro jana jioni.
Baada ya kuuza bidhaa zake Kamera ya Mtaa kwa Mtaa ilimnasa kijana mwingine akitaka kumfanyia kitu mbaya dogo huyo kama inavyoonekana pichani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad