HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 17, 2011

KAMBI YA NGUMI YA ILALA YAKABIDHIWA MSAADA MAJI

Mdau wa michezo Amir Mohamedi 'Msauzi' (kulia) akikabidhi maji ya kunywa kwa niaba ya mdau Prince Muddy Kalla wa Ilala kwa Kocha wa Mchezo wa Ngumi Rajabu Mhamila 'Super D Boxing Coach' katoni 15 za maji kwa ajili ya mashindano ya kuhamasisha michezo ya ngumi inayofanyika leo jijini Dar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad