HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 8, 2011

KAMANDA WA POLISI MKOANI KAGERA AZUNGUMZA NA WAENDESHA PIKIPIKI ZA BIASHARA MKOANI HUMO

Kamanda wa Jeshi la Polisi wa Mkoa wa Kagera,Henry Salewi akiongea na waendesha pikipiki zinazofanya kazi ya kubeba abiria mjini humo,kwenye ukumbi wa jeshi hilo ulioko katika manispaa ya Bukoba, alikuwa akiwaeleza wandesha pikipiki hao waachane na vitendo vya kujichukulia sheria mkononi kwa kuwa jeshi hilo limejipanga vizuri kukabiliana na vitendo vya wizi wa pikipiki vinavyofanywa na watu ambao jeshi hilo limeanza kuwasaka.
waendesha pikipiki wakimsikiliza kwa makini kamanda wa jeshi la polisi mkoani kagera Henry salewi.Picha na Audax Mutiganzi,Bukoba

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad