Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk.Hussein Mwinyi akizindua Kitabu cha dini cha Mwezi Upi Sahihi wa ‘Kitaifa’ au wa ‘Kimataifa’. Kushoto ni mtunzi wa Kitabu hicho, Sheikh Profesa Mikidadi Juma na Mwenyekiti wa jopo la masheikh na wanazuoni wa Kiislamu Tanzania, Sheikh Sharif Hassan Hashim. Hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk.Hussein Mwinyi akizungumza wakati wa uzindua wa Kitabu cha dini cha Mwezi Upi Sahihi wa ‘Kitaifa’ au wa ‘Kimataifa’. Kushoto ni mtunzi wa Kitabu hicho, Sheikh Mikidadi Juma na wa pili kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa jopo la masheikh na wanazuoni wa Kiislamu Tanzania, Sheikh Sharif Hassan Hashim. Hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam.
Bango la uzinduzi
Mawaidha yakitolewa wakati wa uzinduzi huo
Sehemu ya waliohudhuria hafla hiyo adhimu. Picha na Mdau Francis Dand.
No comments:
Post a Comment