HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 11, 2011

Castle Lager yaangusha bonge la party la kuipongeza timu ya Yanga @ Savannah Lounge,Quality Centre

 
 Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa katika Bonge moja la Party la kusherehekea ubingwa wa timu ya Yanga na kujipongeza kwa woote walioshiriki kwa namna moja ama nyingine kufanyikisha mashindano ya Kagame - Castle Cup 2011.Party hili lilifanyika jana usiku katika kiota kipya kabisa cha maraha cha Savannah Lounge kilichopo ndani mjengo mpya na wakisasa kabisa wa Quality Centre,Pugu Road jijini Dar na kuhudhuliwa na wadau kibao kama waonekanavyo pichani.Party hili liliandaliwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia kinywaji chake cha Castle Lager ambao walikuwa ni moja ya wadhamini wakuu wa mashindano hayo yaliyomalizika jana.

1 comment:

  1. wee othman, mbona picha hazina maelezo? be professional bana!!!!!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad