HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 17, 2011

LUNDENGA ATOA SOMO KWA WASHIRIKI WA MISS DAR INTER COLLEGE LEO




 Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga akizungumza na warembo wanaowania taji la Miss Dar Inter College wakati alipotembela kambi yao ya mazoezi jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Vodacom Miss Tanzania 2010 Genevive Mpangala na waandaaji. Warembo 16 watapanda jukwaani leo kuchuana kuwania taji hilo katika ukumbi wa Sun Cirro, Sinza, jijini Dar es Salaam leo usiku.
 Warembo wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga wakati alipotembelea kambi yao. Waandaaji wa Shindano hilo, Angela Msangi na Vicky Kimaro wamesema kuwa maandalizi yote yamekamilika na kuwataka wakazi wa maeneo ya Sinza na vitongoji vyake kujitokeza kwa wingi kwani kutakuwa na shoo kabambe kutoka kwa mwanamuziki wa bongo fleva, Dully Skyes.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad