"Halafu wee Dogo nakwambiaga kila siku,mpango wa kunifatilia katika anga zangu sifagilii wala nini"
"Aaahhh.... unaleta jeuri sioo?"
"Sasa ngoja nikuonyeshe kama mimi ni nani,huwezi kunletea jeuri kinamna hiyooo....." haha ahah ahaha...... haya ndio mambo ya huku kwetu uswazi.
No comments:
Post a Comment