HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 29, 2011

UZINDUZI WA DAWA MSETO YA MALARIA

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dr Haji Mponda akizindua Dawa mseto ya Malaria katika Hotel ya CourtYard mjini dar es salaam.Dawa hii ambayo imeithinishwa na wizara ya Afya itumike kwa ajili ya kutibu malaria na kupewa bei punguzo na inapatikana hapa nchini katika maduka yote ya dawa mjini na vijijini.
Msanii Mrisho Mpoto akielimisha jamii kuhusu dawa hiyo katika uzinduzi .
Waziri wa Afya akionge na waandishi wa habari mara baada ya kuzindua dawa mseto ya malaria
Waziri akipiga picha na viongozi mbalimbali wa Wizara ya Afya na wadau mbalimbali wa malaria waliohudhuria
wasanii wakitumbuiza na kuonyesha Dawa mseto ya malaria kuwa inapatikana kwenye maduka mbalimbali ya dawa hapa nchini kwa bei punguzo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad