HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 6, 2011

SAFARI YA KWA BABU INAVYOZIDI KUBAMBA KILA KONA YA NCHI YETU

Hizi gari zote zionekanazo hapa zinasubiria abiria waendao kwenye matibabu ya Kikombe kule kwa Babu Ambi,Loliondo. na abiria kibao husafiri kila siku kuelekea huko.hapa ni stendi ya madaladala iliopo katikati ya jiji la Mwanza.
Hakula cha Igoma - Buhongwa wala nini,mpango mzima ni Loliondo kwa Babu Ambi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad