Mwakilishi wa TBL Mkoa wa Iringa,Bw. Changwe Masumbuko akikabidhi kombe kwa nahodha wa timu ya Chuo kikuu cha Ruaha ambao ndio walikuwa mabingwa wa Safari Higher Learning ngazi mkoa yaliyomalizika siku za hivi karibuni huko mkoani Iringa.
Mchezaji wa timu ya chuo kikuu cha Tumaini Mkoani Iringa akiwa katika hekaheka za mashindano ya vyuo vikuu ngazi ya mkoa wa Iringa.
Mwakilishi wa TBL Mkoa wa Iringa,Bw. Changwe Masumbuko akifanya uzinduzi wa fainali za Mashindano ya Safari Pool mkoa wa Iringa kabla ya kuanza kwa mashindano hayo hivi karibuni.
Chuo kikuu cha Ruaha kikiwa katika kushangilia ushindi wa Mkoa wa Iringa
No comments:
Post a Comment