HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 6, 2011

MWANA LIBENEKE WA MTAA KWA MTAA NA WADAU

Mzee wa Mtaa Kwa Mtaa nikiwakilisha kutokea uwanja wa Ndege wa Bukoba eapoti.
Deiwakaazzz
Nikiwa na Dereva wa Chombo cha Angani ndani ya Wanja la Bukoba kabla ya kurejea jijini Mwanza.
Toka kushoto ni Mwanalibene kutoka Radio ya Taifa ya Sweden,Vicror anafuata George Njogopa wa DW,Dereva wa Hicho Chombo hapo,pamoja na Mie.
Hapa nikiwa nimezungukwa na watoto wa Shule ya Msingi Mugeza Mseto ambayo ni maalum kwa watoto wenye ulemavu iliyopo Bukoba Mkoani Kagera tulipokwenda kuitembelea hili karibuni tukiongozana na Shirika linalojihusisha na kusaidia watu wenye ulemavu wa Ngozi lifahamikalo kwa jina la UNDER THE SAME SUN.
Mie na Mabesti zangu.
Mie na Mwanalibene Albert G. Sengo tukivinjari mitaa ya jiji la Mwanza.
Nje ya geti la Uwanja wa Mpira wa Kaitaba nikiwa na Kaka Mkubwa,Fumbuka Ng'wanakilala
Hapa niko na Mkuu George Njogopa.
Nikikwea kijipipa safarini kwenda BK.
toka kushoto ni Ebby wa RFI,Njogopa wa DW na Mie wa nanihii.
Mie na Mdau Gamalieli wa UNDER THE SAME SUN.
Mie kulia,George Njogopa,Anti Vicky Ntetema na Ebby nje ya Hoteli ya Isamilo,jijini Mwanza.
Wadau.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad