HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 2, 2011

MTAA KWA MTAA NDANI YA JIJI LA MWANZA

Hivi ndivyo yanavyoonekana baadhi ya maeneo ya jiji hili la Mwanza kama yalivyonaswa na Kamera yetu.Natumai wadau wa Mwanza popote pale mlipo mtakuwa mmeburudika vya kutosha na kukumbuka mambo kadhaa ndani ya jiji hili.Libeneke la Mtaa kwa Mtaa haliishii hapa,bali liko katika mchakato wa kuzungusha rada yake na kuona ni wapi linatakiwa kwenda na kuleta matukio mbali mbali ya huko.
PamoJah wadau.


2 comments:

  1. nenda SAUT tafurahi nikiona picha za huko

    ReplyDelete
  2. kwakweli jiji la mwanza linapendeza sna na hali ya usafi inaridhisha...sifa kwa halmashauri na manispaa kwa kazi nzuri ..rai: huu uwe mfano wa kuigwa kwa jiji la dar-es-salaam cc:shukrani kaka othman kwa taswira nzuri mdau (ny)

    ReplyDelete

Post Bottom Ad