HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 4, 2011

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi (Hesabu za Serikali) Zanzibar, wakati walipofika Ikulu Dar es Salaam leo kwa ajili ya mazungumzo na kumsalimia baada ya kumaliza mafunzo ya siku nne ya kamati hiyo kuhusu Usimamizi na Matumizi ya fedha za Serikali yaliyomalizika hivi karibuni jijini Dar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi (Hesabu za Serikali) Zanzibar, baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam leo.wajumbe hao walikuwepo jijini Dar kwa mafunzo ya siku nne ya kamati hiyo kuhusu Usimamizi na Matumizi ya fedha za Serikali, yaliyomalizika hivi karibuni. Picha na Muhidin Sufiani-VPO

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad