HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 11, 2011

LIBENEKE LA NDANI YA MJI WA MOSHI

Hii ni baadhi ya Mitaa iliyopo ndani ya Mji wa Moshi mkoani Kilimanjaro kama ilivyofanikiwa kunaswa na Kamera ya Mtaa Kwa Mtaa.

4 comments:

  1. Yaani ukiondoa hiyo vumbi na baadhi ya sehemu kutokuwa na barabara za lami... Mji wa Moshi ndiyo namba 1 kwa usafi nchini Tanzania.. Hongera kwa wakazi na viongozi wao

    ReplyDelete
  2. Kk Mdogo trip ya Loliondo nini? LOL

    ReplyDelete
  3. huu mji msafi sana, usafi huu ni kama wa nchi zilizoendelea, jamani wachaga wameendelea, hembu tupeni sisi wabongo wenzenu mwelekeo, ahsante kaka michuzi kwa hizi picha, ni mfano mzuri wa kufuatwa!!!!

    ReplyDelete
  4. fikeni na kule mkuu na tarakea rombo mjionee wenyewe jamani

    ReplyDelete

Post Bottom Ad